Read Kudadadeki Lyrics By Nay Wa Mitego
Read Kudadadeki Lyrics By Nay Wa Mitego. The song has been well-received by fans in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO: Sauti Ya Watu Lyrics By Nay Wa Mitego | READ
Read Kudadadeki Lyrics By Nay Wa Mitego Below:
Heeeh whatsap ma people
Its me again baba yaga I'm on it
Leo sitaki kuimba nataka nichane
Na mizuka ikinipanda mniruhusu nitukane
F**k haters coz hate for no reason
Dua nyingi mrudi uraiani wanangu mlioko prison
Mi niko busy bwana na life ndio linanipeleka mbio
Thamani ya mwanamke imeamia kwenye kalio
Huna tako huna soko utapendwa na mamako
Wanaume tunapungua tu wanaongezeka machoko
Gadam pusha hebu nipe dawa
Akili ikae sawa, niwachane kisawasawa
Dadako nyumbani anasuka na wewe unasuka
Demu wako anavaa hereni na wewe unavaa hereni
Kwenda bwana we sio mwanaume we ni dada Irene
Ona masikioni vipini puani vipini
Wengine mnajichubua sio bure mnakazwa nyinyi
Usishangae kuona Demu wako nae ana Demu wake
Bwana ako nae ana bwana ake
Kipenzi chake ana kipenzi chake
Namtazama nyani usoni leo (Kudadadeki)
Navua miwani sina soni (Kudadadeki)
Namtazama nyani usoni leo (Kudadadeki)
Navua miwani sina soni (Kudadadeki)
Hoya Hoya (Hoya Hoya Hoya)
Hoya Hoya (Hoya Hoya Hoya)
Hoya Hoya (Hoya Hoya Hoya)
Hoya Hoya (Hoya Hoya Hoya)
Hoya Hoya (Hoya Hoya Hoya)
Hoya Hoya (Hoya Hoya Hoya)
Hoya Hoya (Hoya Hoya Hoya)
Hoya Hoya (Hoya Hoya Hoya)
Hii ndo TZ yani bongo kila kitu ni mchongo
Muda unaopoteza kusoma ungepambania michongo
Demu mwenye degree bado yupo kwenye msoto
Ila demu mwenye matako ndo anatwmbelea mkoko
Aaah upo hapo akili kichwani mwako
Never trust anybody hata kama ni baba ako
Makamanda mambo vipi poaaa
Oya majita mambo vipi pooa
Unapata wapi nguvu ya Kufanya mapenzi na hauna hela
Wakati furaha yao ni tendo sisi furaha yetu ni hela
Makamanda mambo vipi poaaa
Oya majita mambo vipi pooa
Umezaliwa miaka 90 na bado unaishia kwenu
Shika kichwa eeeh shika kichwa eeeh
Dada una wapenzi zaidi ya watu na bado hauna hela
Shika kichwa eeeh shika kichwa eeeh
Na kama wewe ni kama mimi huna mpango na ndoa
Shika kichwa eeeh shika kichwa eeeh
Kama kweli naamini wahuni wote peponi
Shika kichwa eeeh shika kichwa eeeh
Namtazama nyani usoni leo (Kudadadeki)
Navua miwani sina soni (Kudadadeki)
Namtazama nyani usoni leo (Kudadadeki)
Navua miwani sina soni (Kudadadeki)
Hoya Hoya (Hoya Hoya Hoya)
Hoya Hoya (Hoya Hoya Hoya)
Hoya Hoya (Hoya Hoya Hoya)
Hoya Hoya (Hoya Hoya Hoya)
Hoya Hoya (Hoya Hoya Hoya)
Hoya Hoya (Hoya Hoya Hoya)
Hoya Hoya (Hoya Hoya Hoya)
Hoya Hoya (Hoya Hoya