SHARE

Hufanani Lyrics by Otile Brown

SHARE

Read Hufanani Lyrics by Otile Brown. The song has been well received by fans in Kenya and East Africa in general.

READ ALSO: Read Finish Last Lyrics By Otile Brown

Hufanani Lyrics by Otile Brown below:

Usinione najiamini yote ni kisa namjua Mungu 

Mungu anaeishi ndani yangu anipaye ujasiri 

Usinione ninaringa yote ni kisa namjua Mungu 

Mungu anaeishi ndani yangu ndo ananisitiri 

Nimeshapigana vita vingi, nimeshapoteza vingi 

Ila Imani yangu kwake iko imara 

Wamekwishaniwekea vigingi mchawi nazi amevunja hadi chini 

Ila nimeshindikana nimeshindikana 

Na siogopi hata kwa hatari 

Mmmh siogopi hata kwa ajali 

Mbalimbali uko na mi niko sambamba 

Siogopi hata kwa hatari 

Maana Mungu wangu 

Hafanani yeye hafanani 

Hafanani na mimi nawe 

Hafanani yeye hafanani 

Mungu wangu hafanani yeye Hafanani

Hafanani yeye hafanani 

Mungu wangu hafanani 

Hafanani Mungu wangu hafanani na binadamu 

Mungu wangu hafanani nao binadamu 

Tena siogopi hata kwa hatari Mmmh 

Siogopi hata kwa ajali 

Mbalimbali uko na mi niko sambamba 

Siogopi hata kwa hatari 

Maana Mungu wangu 

Hafanani yeye hafanani 

Hafanani na mimi nawe 

Hafanani yeye hafanani 

Mungu wangu hafanani yeye Hafanani

Hafanani yeye hafanani 

Mungu wangu hafanani 

Hafanani Mungu wangu hafanani na binadamu 

Mungu wangu hafanani nao binadamu

Related

ADVERTISEMENT