Read Geri Inengi Lyrics By Wakadinali Ft SirBwoy
Read Geri Inengi Lyrics By Wakadinali Ft SirBwoy. The song marks another time Wakadinali have scored a hit song.
READ ALSO: Read McMca Lyrics By Wakadinali
Geri Inengi Lrics
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibuguduguboom
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibugudugudu!
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Na imejaa!
Kibugudugudu! my guy hii si toy
Ziwa Hurush na mi najienjoy
Tuliwabumbrush H-Kiamaiko
Buruklyn na mi si boyz
Sina jongo sina form sina cheda
Bila mbesha still machaji walichuna
Ngeus una matress kwako sema form
Munga mjinga niko zone
Past curfew magiza niko biz
Smady Tings alikujia magiz giz
I’m sorry ilidim, am sorry nimediiim
I’m sorry ilidim, am sorry imedim
Am sorry ah! ah! aiii!
Subaru inakam na mambaru wamekrome
Zaidi ya mzinga na zile vitu wrong
Munga, Sirbwoy hepa chuom na imepong
Digitali jaba kali shikisha na Dosh
Maisha posh na maombre wa pale Canaan Koch
Taxin na magego za ogoro
Zinawaka shinda torch za magwoch
Idhaa ni mbaya lola mbota, lola watch
Yeah, yeah
Kwa hii darasa mi ndio teacher, mi ndio coach
Zimewaka, zimeliet, zimemuoch
Mbara ya gatheshe, hatuna kasheshe
Maybe tukuthiokore na tukufanyange patient
Boom boom, yeah yeah yeah yeah yeah
Boom!
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibugudugudu!
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibugudugudu!
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Na imejaa
Read the Other Latest East African Music Lyrics Here