Read 'Freestyle Session 6' Lyrics By Msodoki Young Killer
Read 'Freestyle Session 6' Lyrics By Msodoki Young Killer. The song has been well-received by fans since its release.
READ ALSO: Read 'Freestyle Session 5' Lyrics By Young Lunya
Read 'Freestyle Session 6' Lyrics By Msodoki Young Killer Below:
Unajua ili unipoteze inabidi
Uwe umepotea eeeeh
Msodokiiii
Hot stories
Ma-snitch ka wewe nang’oa pua
Hapa labda zikuokoe dua
Country kakupika kabla hujaiva kakupakua
Mie wa kitaa muulize babuu anajua
Kama mimi hauwezi kuwa
Kwanza I’m the best show killer
Waulize wanaokupa tour
Fiesta Wasafi muuni nishakisanua
Kwanza hatujawahi muona
Demu wako dogo acha kujichua
Mbele ya kamanda alafu unanyea kambi
Na nshamega bebe zako hata kabla hazidangi
Nikitamba pande zako pande zetu hazitambi
Nakubalika na wote hadi anaokuuzia bars
Siri ya Killer kwanza weka Young kisha Killer
Killer ni muuaji ila sina maana hiyo ya killer
Killer killer kuleta picha ya taswira
Bila killer sijutii sichukii kutwa Young Killer
Weka sura nikuvuruge acha goli nikufunge
Nimetake over hii kitu tangu yupo Bosi Ruge
Tangu viwanja vya posta vinauzwa Lucky Dube
Enzi za Bongo Movie na utapeli wa dude
Ukiongelea hip hop mwanza na kaskazini
Ukiongelea mwamba ni King Joh Makini
Ukiongelea mkwanja sijui utanifikia lini
Na uko level ya kuamka alafu hujui utakula nini
Stupid fighter kwa screen wall paper
Kwanza umepata zero NECTA
Skia upate lecture
Sio unatoa nyimbo kelele kama za Generator
Nikikuzoom on my radar me hata skuoni
Zaidi ya complain open your brain
Uwezo wako mdogo rudi shule wakakutrain
Usupastaa dogo sio tu kunnua cheni
Kudai haki bila kufata sheria ni kufanya fujo
Na so mistari mi napiga mpaka judo
Na naleta impact kuliko hata Akudo
Utatoa mimba yangu dogo acha
Kutunisha tumbo
Zingua tena nikutie utumbo
Unatoa mbwa bandani kwa kufuata mkumbo
Mi nimejengwa na tungo maujanja ni rundo
Nakupa mistari mingine kaipokee Ubungo
Pumbavu in Vicent Kigosi’s voice
Msodoki in the house
Mathafanta kwa wewe
Na wanaokusaidia kushare