Cancer Lyrics by Billnass
Read and enjoy Cancer Lyrics by Billnass. The song has been well received by fans in Tanzania and East Africa
READ ALSO: Beer Nyama Lyrics by Lava Lava Ft Billnass
Read Cancer Lyrics by Billnass below:
Nenga mtu mbad nishai sivai tena
Toka nimetoa tatizo wananiita the problema
Hot stories
Mtoto mzuri kama Nandy
Unamwachaje dilema
Niko studio na mapishi mpeni maudhui wema
Mtajua hamjui mtakua hamkui
Round hii nakichafua na ile dafu hamfui
Mkifunika hamfunui washamba hamsumbui
Yaani mnunuliwe pombe
Mpewe na supu asubuhi
The path that I've been through
The deals that I'm used to
Dada zako wananilila
Mafioso Inc
Level hizi utazisikia tu
Watoto wana-pretend tu
Big thugs za ma-gang
Bata bata pesa zenyewe za Vunjabei
Mtagonga mwamba mkidhani kufeli kuna way
Sijui mlitoka vipi naona ghafla bin vu
Mkaanza kushika chart nikaona
Ghafla bin you
Mmmeshindwa kulia mikono je mtaweza miguu
Maana mmefulia faster yani
Yani ghafla bin vuu
Safari kemkem yani better than you
Kizazi kipya cha rap
Naleta flows za brand new
Nimechafukwa na damu utadhani
Devil wa Man U
I aint bothered about the thing Kaka
Nikiwa Kenya nabonga Sungura na King Kaka
Nyeusi ti wakanda black panther
Kupona itakuwa ngumu maan hii ni kansa