Read Amen Lyrics By Mathias Walichupa
Read And Sing Aloud Amen Lyrics By Mathias Walichupa. The Gospel anthem has been well received in Tanzania.
READ ALSO: Read Majina Yote Mazuri Lyrics By Dedo Dieumerci Ft Naomi Mugiraneza
Read Amen Lyrics By Mathias Walichupa Below:
Ninayo sababu ya kusimama
Mbele za watu
Kwa ujasiri mmmh
Hot stories
Niziseme shuhuda zako bwana wangu
Jinsi we ulivyonisitiri
Na kama ungeniacha
Mi nisingeweza
Ningeliangamia angamia
Kwa neema yako
Nimeweza maana umenisimamia
Simamia
Najitabiria mabaya yote
Hayana nafasi
Kwa jina la Yesu ninakiri
Kupokea ushindi
Umo uwezo kinywani mwangu
Amen
Nikitamka (Amen) inatimia (Amen)
Sawasawa na kusudi lako
Hata kama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawe (Amen)
Utafanya Yesu (Amen)
Ooouuuuuh
Ooooh
Kama ni mali fedha na dhahabu
Mimi nitavipata tu
Ambavyo wazazi hawakuvipata
Nitavipata tu
Kuongezeka imani
Niyashinde majaribu
Nitafanikiwa
Kuishi utakatifu niione Mbingu
Nitafanikiwa
Najua hali ngumu
Zina kikomo
Si za kudumu ila
Neno la Mungu
Na mipango yake
Inadumu milele
Najitabiria mabaya yote
Hayana nafasi
Kwa jina la Yesu ninakiri
Kupikea ushindi
Umo uwezo kinywani mwangu
Amen
Nikitamka (Amen) inatimia (Amen)
Sawasawa na kusudi lako
Hata kama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawe (Amen)
Utafanya Yesu (Amen)
Ooouuuuuh
Hata kama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawe (Amen)
Utafanya Yesu (Amen)
Ooouuuuuh