SHARE

Binadamu Lyrics by Kontawa featuring Harmonize

SHARE

Kontawa Lyrics

Read, sing aloud and follow along Binadamu Lyrics by Kontawa featuring Harmonize.

READ ALSO: Read Wewe Lyrics by Kontawa

Read Binadamu Lyrics by Kontawa featuring Harmonize below:

Zara Boy pass me the weed
Am about to say something shit nigga
Bombo Clat
Me nachekaga tu

Ukiuliza kiatu ndo kitakwambia
Ni mambo mangapi me nimepitia
Siwezi rudi nyuma sijakalili njia Yeeh
Eeeeh nishakutana na mambo mengi ya dunia
Ndo maana hapa nilipo nikikuamulia hushindi
Hata ukivaa nguo za kushindia
Eeh hamtaki kutuona mbele

Kwani wenzetu mnatakaje tulikotoka tulimwagiwa maji ya maharage
Mnatuombea mabaya kwani si tuliwafanyaje
Tumekoswa na vibaka mnaomba tuhonge
ili tukabe
Na kuna vitu mnavifanya bana hamfanyi poa kwa mawazo yenu
Mnadhani mnanikomoa kila nikianzisha penzi mnapanga kulibomoa
Au mnataka Yesu arudi akute bado sijaoa

Tuoneane hurumaa punguzeni hujumaa
Wapo wanaotutegemea
Nyie mtauwa

Tuoneane huruma punguzeni hujuma
Wapo wanaotutegemea nyie mtauwa
Ukidhani unanikomoa mimi
Nyuma kuna wengi usiowajua

Usiombe wapige goti chiniii
Wakusomee dua men
Alhamdulilah Mungu nashukuru
Pumzi unanipa silipi ushuru
Nipate nikose siwezi kufuru
Uzuri umeniumba tembo na sio kunguru
Yeah, sina uwoga

Me ni maji wasiponinywa watanioga
Na wakijisumbua kuniroga
Watapoteza muda kama alomtahiri shoga
Binadam bwana eti ye ndo kakupa upofu
Na yupo hadharani anasema kuwa uyaone

Binadam bwana anaweza kukupa matibabu
Na kwenye Dua zake anakuombea kwa Mungu usiponee

Binadam bwana Eeeeh
Tuoneane hurumaa
Punguzeni hujuma
Wapo wanaotutegemea nyie mtawauwa

Tuoneane Hurumaa Punguzeni Hujumaa Wapo Wanaotutegemea Nyie Mtauwaaah

Ukiniletea U B.I.G nakuletea U PAC
Usinitishie uchawi
Me mwenyewe Illuminati
Binadam wana mambo ya kiwaki
Unaweza Ukang'oka Meno Wakakuletea Mswaki
Akusimama Na Me Wote Walikaa L
Eo Wanashangaa Ng'ombe Wa Maskini Amezaa
Ukinichukia Me Umeuchukia Mtaa
Mnaongoja Nifeli Niko Pale Nimekaa

Tuoneane huruma punguzeni hujuma
Wapo wanaotutegemea nyie mtauwa
Ukidhani unanikomoa mimi
Nyuma kuna wengi usiowajua

Check Lyrics of latest songs here, and get fresh updates as they drop via Twitter and Facebook

Related

ADVERTISEMENT