Freestyle Session 6 Lyrics by Young Lunya
Young Lunya Lyrics
Read Freestyle Session 6 Lyrics by Young Lunya. The rap song has been well received by fans in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO: Read 'Freestyle Session 5' Lyrics By Young Lunya
Read Freestyle Session 6 Lyrics by Young Lunya below:
Picha limeanza nimepigika sina mkwanja
Navuta picha nawaza nakunja ndita nakaza
Picha limeanza nimepigika sina mkwanja
Navuta picha nawaza nakunja ndita nakaza
Picha limeanza nimepigika sina mkwanja
Navuta picha nawaza nakunja ndita nakaza
Picha limeanza nimepigika sina mkwanja
Navuta picha nawaza nakunja ndita nakaza
So you can picture me rolling
You can picture me balling
Kilichoml ndani yangu sio mimi
Simanzi you can picture me stunning
Blazing smoking majani
Kinachoponya Imani sio dini
I'm killing everything kinachoweza kupumua
Haijalishi kama haunijui au unanijua
Mchanga wa beach hauwezi ukanitishia kitumbua
Naombewa sana noma lakini bado nakisanua
Lakini bado naomba dua
Bado haijawa sure baadhi mpaka hii leo zinanishushua
Bado nina mizigo sijaitua
Bado sijawa mropokaji bado mkaksi bado nauchubua
Na sio kama sideti sijaona wakumu-expose
Kesi zikiletwa zinafutwa case closed
Zikialikwa geto za kuvunjwa ofcoz
Rada safi navizia watoto wa Nairobi
It's freezing on my chest mi sio mtu wa mikachakacha
Fuck these rap battles mi nachania hata chakacha
Clean utazania member wa wakacha
Tamba nikiwa sipo tamba ila watambie fasta fasta
Check Lyrics of latest songs here and Get Fresh updates as they drop via Twitter and Facebook