Read 'Freestyle Session 5' Lyrics By Young Lunya
Read And Enjoy 'Freestyle Session 5' Lyrics By Young Lunya. The song has been well-received by fans in Tanzania.
READ ALSO: Young Lunya Confirms Collaboration With Diamond Platnumz | SEE DETAILS
Read 'Freestyle Session 5' Lyrics By Young Lunya Below:
Tamba pande zako pande zetu hautambi
Kama ulikuwa ujui ichi kichwa kina madini mgodi hauwezi tosha
Na hii nafasi awaipati ndo kwanza nawanyoosha
Leta uduwanzi tukuletee posa
Na bars zinakuja na upako kama ni za mwamposa
Yes nakuacha uninyenyekee unafaa uwe muumini wa kanisa
Unaona hizi lines hazipindi pindi nazipanga na zinapangika
Bobo kapiga mdundo kafanya uwapate wachawa wakutingisha kichwa
Uwezi kuwa mwamba na hit ni moja za kwangu zipo kama tisa
Baada ya hii nadondoka tena nakwenda tyu kuchora tatoo
Wanajifanya wanamoyo safi bado awajakutana na babuu
Itawafanya wafumbe midomo utadhani wateja wa tamu
Nani hajui kuwa styles za kwao ni fambuu za kwangu ni chambuu
Flow ni nyingi sanaa rasta utakaa sana
Muonekano huna mi mwenzako nimeka star
Flow zao za siku nyingi yani zimechacha
Acha michezo na mi mwenzako kama kitu kichwani akijakaa sawa
Ifike time dunia ijue kweli hamnipendi kipindi
Na hilo kwangu hata sio tatizo kwa sababu napendwa na wengi
Njaa ni mbaya na iyo sasa ni moja ya kitu ambayo sipendi
Smart sanaa mpaka nikivua nguo napiga mahesabu kishenzi
Pesa inafanya watoto wadogo ukiwatuma dukani awarudishi chenji
Siwezi kusahau kipindi mfukoni patupu nakosa hata ten ge
Wewe na shobo alafu shobo na wewe sishangai unavopenda kutrend
Wale wanangu wa bobo mmoja siwezi kuitambia omg full stop!
Kwenye hustle pain ipo right?
Wote rappers but we are not equal why
Stimu mpya same kiko
Pisi nazo zipo nyingi natembeza spakoz
Rap ya bongo na wala sio ya mwenye mdomo
Hata panchi zangu za kuziofia huwa napiga kwenye mshono
Pia watu wenu wanao wasifia kweli nawafumba midomo
Level za kwangu nacheza na kobe zakwenu nyie ni za konokono
Alafu sasa nachonga na njia ili rappers wengine wawahi masomo
Wanaweza vipi kuzisilizia wakati umefika kikomo
kama biashara yenyewe ya ungaunga promoter hausiki na promo
Watoto wazuri wote ni malaika kamuulize Reekado Momo
We mtata au vipi unawatisha sasa mbona ata autishi
ungekuwa uzazi wa mpango unekuwa huexit
Sio mbaya unaweza kujiimbia cauz hausikiki
Stupid
Ulidhania barau uliotuma ntajibu
Hapa ungejua wewe fungu la kukosa na huoni aibu
Chagua moja ukae mbali sanaa ukae karibu
Ili hutoke inabidi niwepo nafkiri ushapata majibu
Kuna nyie wote inabidi mnisikilize kwa ukaribu
Ukikaa vibaya mi nakutumbua silei majipu
Ubusy unanifanya nikitumbua macho silali usiku
Sie wengine wasikilizaji redio za kina Chibu
Oooooh!
Utanda wazi ndo unafanya tunaishi kwa drama
Sifa nyingi mtandaoni na anaishi kwa mama
Ndo basi ushakwama
Bando la simu ni kama bure mtaendelea kunitukana
Haunivishi aunitishi uogopeshi mwana
We unatubu si tunacheza na cash brother
We unaiita michano ila hii apa ni next level
Kabla sijaingia kwenye industry nilisoma mchezo
Naendelea kufanya bomba cauz am so special
Special kwa kizazi hiki na hata kizazi boombak
Wasshtue na wenzio mje kujifunza kumbafu
Watajitaidi ila awaachia boombafu kama mimi
Nafocus nakibunda