Read Simama Lyrics By Lody Music
Read Simama Lyrics By Lody Music. The song has been well-received by fans in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO: Read Only You Lyrics By Barnaba Classic Featuring Jay Melody
Read Simama Lyrics By Lody Music Below:
Katika zangu pita pita
Moyoni nikakukaribisha
Nikasema nitakubadilisha
Hot stories
Umebadilika sasa unanidhalilisha
Upendo wako umejificha
Malumbano kila kukicha
Sikujua kama una visa
Unanifundisha yaani unajifanya teacher
Ooooh noo
Yaani mapenzi bhana yanachekesha
Yananifurahisha
Jana nimependwa leo naachwa
Unaemuita mwana anachoresha
Vitu anavivujisha
Uwaga wanapendwa we ukiachwa
Yanavunjisha sana moyo
Upendo ukizidi
Mapenzi yananiliza kwanini
Naulazimisha sana moyo
Kupenda kwa bidii
Ila kila siku naachwa mimi
Moyo una nini
Simama simama
Acha kukimbia
Simama simama
Mjini kuna vya watu
Simama simama
Punguza kukurupuka
Simama simama
Moyo una nini
Si ulisema uwezi ishi ukinikosa
Mbona leo unanitosa
Na sijui hata kosa langu
Sawa ndo umeamua kunitosa na
Machozi yanatoka
Ulijali hata penzi langu
Kumbe kosa langu kukupenda eti
Nakuchosha pindi ukiona simu zangu
Niende kwa waganga ama nitumie
Mafuta ya mwamposa
Kulitibu hili penzi langu
Ooouuuooh
Natuma message ndefu
Unazijibu kwa emoji
Nikijibu kwa emoji
Unasema hainogi mapenzi
Naulazimisha sana moyo
Kupenda kwa bidii
Ila kila siku naachwa mimi
Kwani moyo una nini
Simama simama
Acha kukimbia
Simama simama
Mjini kuna vya watu
Simama simama
Punguza kukurupuka
Simama simama
Moyo una nini