Read Wamelowa Lyrics By Harmonize (The Yanga Version)
Read Wamelowa Lyrics By Harmonize. The song is dedicated to Yanga fans and has been well-received by fans in East Africa and beyond
READ ALSO: Read Amelowa Lyrics By Harmonize
Read Wamelowa Lyrics By Harmonize Below:
Kwenye msimamo kumi bora ndo wengine wamo
Tanga shikamoo hawatuwezi hawa watoto wa Mooo
La kuvunda halinaga ubani hawawezi lutufikia
Na mpira kwetu burudani hatuchoki kushangalia
Wanajiuliza kwanini tunawakimbiza hawachezi boli wanaingiza
Yanga tunatamba kuwaumiza
Tumeshinda kilage mukama tunakomoa
Kwa uwekezaji wa GSM hawawezi kutoboa
Tunawakumbatia mkono wa kushoto kwenye gear
Na zikitupanda hisia Yanga tunachuchumia
Maji yanatoka wamelowa wamelowa
Wamelowa na mvua
Makolo wamelowa wamelowa
Wamenyeshewa na mvua
Wamelowa wamelowa
Wamelowa na mvua
Makolo wamelowa wamelowa
Wamenyeshwwa na mvua
Si ndo Yanga, Yanga Afrika
Engineer
Si ndo Yanga Yanga Afrika
Uuuh aaah kila wakikurupuka tunawapiga kamba
Hatuna papara pupa tunalicheza samba
Jeupega mwanao wenye kwilejakuloa jejikukila mwanau
Liduvalipapa ukakaukyilamba, liduvalipamba ukakaukakyilamba
Tumeshinda kilage mukama tunakomoa
Kwa uwekezaji wa GSM hawawezi kutoboa
Tunawakumbatia mkono wa kushoto kwenye gear
Na zikitupanda hisia Yanga tunachuchumia
Maji yanatoka wamelowa wamelowa
Wamelowa na mvua
Makolo wamelowa wamelowa
Wamenyeshewa na mvua
Wamelowa wamelowa
Wamelowa na mvua
Makolo wamelowa wamelowa
Wamenyeshwwa na mvua
Si ndo Yanga, Yanga Afrika
Engineer
Si ndo Yanga Yanga Afrika
Tunawakumbatia mkono wa kushoto kwenye gear
Na zikitupanda hisia Yanga tunachuchumia
Maji yanatoka wamelowa wamelowa