SHARE

Umenifunza Lyrics by D Voice

SHARE

D Voice Lyrics

Read and sing aloud Umenifunza Lyrics by D Voice. The song has been well-received by fans in Tanzania and beyond

Cover Art for D Voice's Swahili Kid Album

Umenifunza Lyrics by D Voice

Uliompata anaupiga Mwingi
Sio siri umenawirii Rangi Mashalllah
Kampe hongera Zake
Battle Siwezi amenizidi Vingi
Mwenzangu tajiri mi kapuku mlala njaa
Sijafika Level ZakoUuh mi hali yangu Pangu pakavu
Ridhiki yangu ndondondoo
Nilichojaliwa Malavu Davu
Ila Kipato Ndio Mchongooo
Mwenzangu Kanizidi Ubavu
Mie Kijitie nondo
Ningewezaje Kutoa Madafu
Wakati mi mpera Si uongoo

Lakini nimemiss nimemiss Kukuona Kwangu
Yalaiti nami Mungu angenipa Fungu Langu
Labda usinge Cheat kama muuni ningekuwa na Vyangu
Ila atabarikii Nami Mungu Atajibu Maombi Yangu
Ila umenifunza Umasikini Mbaya

Umenifunza umasikini Mbayaaa
Umenifunza umasikini Mbayaaa
Umenifunza umasikini Mbayaaa
Umenifunza umasikini Mbayaaa

Na uyoo uliempata Usmwache
Maana anakupa Nilivyokosa Mimi
Mungu abariki fungate Muwe wa halali
Awaepushe kuzini
Walomwambia asikuchape Oah
Kumbe Na sikukuchapa Mimi
Na wewe jeuri Uache mpe sifa mama
uchenge yako ndimi

Siwezi sema nimemsusa nitakuwa muongo
Kama ikitokea Fursa mi bado nipo single
Hamu mwezako kimejaa kichupa
Pakumwagia songombingoo
Nisamehe kama mstari nauvuka
Maji yamefika kwa shingoo
Maana nimemiss nimemiss Kukuona Kwangu

Yalaiti nami Mungu angenipa Fungu Langu
Labda usinge Cheat kama muuni ningekuwa na Vyangu
Ila atabarikii Nami Mungu Atajibu Maombi Yangu

Ila umenifunza Umasikini Mbaya
Umenifunza umasikini Mbayaaa
Umenifunza umasikini Mbayaaa
Umenifunza umasikini Mbayaaa
Umenifunza umasikini Mbayaaa

Explore Other Music Lyrics Here

Get Fresh updates as they drop via Twitter and Facebook

Related

ADVERTISEMENT