SHARE

Read Simuachi Lyrics By Cheed

SHARE

Read And Enjoy Simuachi Lyrics By Cheed. The song has been well received in Tanzania and East Africa in general.

READ ALSO: Konde Gang's Cheed Announces New EP | SEE DETAILS

Read Simuachi Lyrics By Cheed Below:

Nimekuchagua chama

Nawe ndo jimbo ooh..!

Asijemiliki mpinzani

Mmh yeeh

Na haki tufike kiamaa

Ndege kwa ulimbo ooh

Nimenasa mtegonii

Mola amenibarikiaa!!

Nimepata toto la tanga mwambani

Nimetunukiwa

Sisemi ameniweka kwapani

Na anavyonipatia

utasema labda ana yangu ramani

Keshafunga njia ya

mipaka ya china na japani

Lake pendo ndani lanipa ashuo

Ananipenda vibaya

Mkali kwenye tendo

Kahitimu chuo mwana hanaga haya

Nanshampa kitengo kwa mipukuchuo

Me najimwaya mwayaa

Mswaki kwenye pengo

Na misukutuo mwali hanaga baya

Wala (simwachi)

Ye ndo mwanga me tochi oooh oooh

Wala sijutii (sijutii)

Kwake sifurukuti oooh oooh

Kibaba mama twacheza kitandanii

Tukipeana somo

Hili huba letu la thamani

Nalishwa nyama ya pweza forodhanii

Nyi chongeni midomo

Kwa raha zetu atuachani

Kachirii iih kachiri saga

Tumependezana wawili saga

Usiogope wanga wakitujadili, iih jadiliiii

Ooh kachiri kachiri saga!

Tufe na tuzikwe wawili oohuuh nana nana

Lake pendo ndani lanipa ashuo

Ananipenda vibaya

Mkali kwenye tendo

Kahitimu chuo mwana hanaga haya!!

Nanshampa kitengo

Kwa mipukuchuo

Me najimwaya mwayaa

Mswaki kwenye pengo

Na misukutuo mwali hanaga baya

Wala (simwachi)

Ye ndomwanga me tochi

Ooh Ooh! Wala sijutii

Related

ADVERTISEMENT