Read Mchumba Lyrics By Nandy
Read and enjoy Mchumba lyrics by Nandy. The song has been well received by fans since its time of release.
READ ALSO : Read Naburudika Lyrics By Nandy Ft Nviiri The Story Teller
Read and enjoy Mchumba Lyrics by Nandy Below:
Kaniweza mimi mi kwake muoga kunguru nifanyeje ajue
Ntakufa mimi baby roho yangu inusuru nifanyeje ujue
Nikuhonge au Aaah nikuposti au nikupe mmmmh au Aaaah
Nikuhonge au Aaah nikuposti au nikupe mmmmh au Aaaah
Mchumba unataka nini mchumba (Aiyeke iye) Roho unataka nini (Aiyeke Iye)
Mchumba unataka nini mchumba (Aiyeke iye) Roho unataka nini roho (Aiyeke Iye)
Kidege kinaondokaaa kidege kinaondokaaa Aiya yayaa kinaondokaaa Aiya yayaaa kinaondokaa
Shi kshu kshi shi shi Kshi kshu kshi kshi kshi Kshi kshu kshi kshi kshi Kshi kshu kshi kshi kshi
Mwenzenu nampenda nampenda sana akiniacha mnizike mje mnizike
Ajue mapema mapema sana akiniacha mnizike
Nikuhonge au Aaah nikuposti au nikupe mmmmh au Aaaah
Nikuhonge au Aaah nikuposti au nikupe mmmmh au Aaaah
Mchumba unataka nini mchumba (Aiyeke iye) Roho unataka nini roho (Aiyeke Iye)
Kidege kinaondokaaa kidege kinaondokaaa Aiya yayaa kinaondokaaa Aiya yayaaa kinaondokaa
Shi kshu kshi shi shi Kshi kshu kshi kshi kshi kshi Kshi kshu kshi kshi kshi Kshi kshu kshi kshi
Kidege kinaondokaaa kidege kinaondokaaa Aiya yayaa kinaondokaaa Aiya yayaaa kinaondokaa