SHARE

Read Keep Quiet Lyrics By Maua Sama

SHARE

Read Keep Quiet Lyrics By Maua Sama. The song marks another time Maua Sama scored a hit song in Tanzania and East Africa.

READ ALSO: Read Yamenizidi Lyrics By Maua Sama

Read Keep Quiet Lyrics By Maua Sama Below:

Hizi simu za asubuhi 

Basi atakuwa baby 

Ama ndo danga jipya 

Fupi lenye matege 

Eti siku hizi najishaua 

Hebu punguzeni ngebe 

Wakipanga kunishusha 

Basi Yesu nibebe 

Nimehama Mbagala shoga yangu 

Niko Sinza Madukani 

Nakaribia kwenda Uturuki 

Nahisi nitarudi mwakani 

Zile picha zangu mlizosema za utupu 

Zimenipa profesa 

Amenipa gari naendesha 

Ona nnavyowatesa 

Basi Shhhh keep quiet 

Haya ndo maisha yangu 

Mmmh si mnasema nadanga 

Basi nyie sio level zangu 

Basi Shhhh keep quiet 

Haya ndo maisha yangu 

Mmmh si mnasema nadanga 

Basi nyie sio level zangu 

Chocha chocha 

Wanakuchocha 

Ujanja wangu mi sishindani 

Na wakimboka 

Levo zetu hazifanani 

Unajichosha 

Unataka ushindane na nani 

Ndo nakupasha 

Nimehama Mbagala shoga yangu 

Niko Sinza Madukani 

Nakaribia kwenda Uturuki 

Nahisi nitarudi mwakani 

Zile picha zangu mlizosema za utupu 

Zimenipa profesa 

Amenipa gari naendesha 

Ona nnavyowatesa 

Basi Shhhh keep quiet 

Haya ndo maisha yangu 

Mmmh si mnasema nadanga 

Basi nyie sio level zangu 

Basi Shhhh keep quiet 

Haya ndo maisha yangu 

Mmmh si mnasema nadanga 

Basi nyie sio level zangu 

Related

ADVERTISEMENT