Read 'Huku' Lyrics by Ali Kiba and Tommy Flavour
Read and sing aloud Huku Lyrics by Ali Kiba and Tommy Flavour. The song has been well received by fans in Tanzania and beyond.
READ ALSO: Ali Kiba and Tommy Flavour abandon local sound for Amapiano in their new blockbuster 'Huku'
Read Huku Lyrics by Ali Kiba and Tommy Flavour below:
Juu yako kibudu nime-dead
Aaaaah
Fanya utakavyo am ready
Aaaah Mmmh
Baby baby tuspend
Aaaaaah
Maisha yenyewe mafupi
No dead line Aaaah
Ooooh
Huku nishike huku
Nishike huku
Aaaah huku baby
Huku eeeh
Huku nishike huku
Nishike huku
Aaaah huku baby
Huku eeeh
We pisi kali hushindani na vikaragosi
Oooh vikaragosi
Usije ukamwaga mwenzio ntalost
Ooooh utanimaliza
Huku nishike huku
Nishike huku
Aaaah huku baby
Huku eeeh
Huku nishike huku
Nishike huku
Aaaah huku baby
Huku eeeh
Una hofu na Monalisa na Aisha
Wakati we ndo unanimaliza
Unanimaliza aaah
We ndo unaenifaa ni fire
Aaaaah
Oooh wale vikaragosi
Ooooh
Wapi wapi wapi
Wapi nishike huku
Wapi nishike huku
Wapi huku
Wapi nishike huku
Oooh Oooh
Oooh usisare usisare
Oooh nadi ana didiana
Oooh unanimaliza
Huku nishike huku
Nishike huku
Aaaah huku baby
Huku eeeh
Huku nishike huku
Nishike huku
Aaaah huku baby
Huku eeeh
Kata kidogo nata na mikogo
Nataka kidogo
Kasweet kama jojo
Katoto ka model
Kata kidogo nata na mikogo
Nataka kidogo
Kasweet kama jojo
Katoto ka model
Oooh usisare usisare
Oooh nadi ana didiana
Oooh unanimaliza
Oooh