SHARE

Read 'Ole' Lyrics By CHERRY

SHARE

Read And Sing Aloud 'Ole' Lyrics By CHERRY. The song has been well-received by fans in Tanzania and beyond.

READ ALSO: Read 'Go Baby' Lyrics By CHERRY

Read 'Ole' Lyrics By CHERRY Below:

Moyo umechoka kuteseka

(NO BHANA HAPANA)

Marafiki mapenzi visa yeeh

Mood yangu ya kusaka pesa

Sina habari nao staki kuboeka

( NO BHANA HAPANA)

Tarariraaa naku delete uende

Sitaki pressure kuteseka deile

Tarariraaa naku delete uende

Sitaki pressure kuteseka deile

      CHORUS

Najipa nafasi (ole, ole ole)

Mawazo sitaki (ole , ole, ole)

Kwani sh ngapi (ole, ole, ole)

Najipa  nafasi (ole , ole ole) 

Nawa kataa, ka ta, kata kata kaah  ta

Acha niupoze moyo 

Nimwagilie moyo

Niuridhishe moyo

Nshachoka hizo ndombolo

Wabaya watu, kucheza rafu , sitaki katu me nawakataa tu

(NO BHANA HAPANA)

Mambo ya watu ,issue za watu ,

Weka kwa kapu  hapa ku party tu

( OHH LEO LEO)

Najipa nafasi (ole, ole ole)

Mawazo sitaki (ole , ole, ole)

Kwani sh ngapi (ole, ole, ole)

Najipa  nafasi (ole , ole ole) 


Related

ADVERTISEMENT