Read Nikilewa Lyrics By Nviiri The Storysteller Ft Bien & Bensoul
Read Nikilewa Lyrics By Nviiri The Storyteller Ft Bien & Bensoul. The song is another soothing collaboration from Kenya.
READ ALSO: Read Naburudika Lyrics By Nandy Ft Nviiri The Story Teller
Read Nikilewa Lyrics By Nviiri The Storyteller Ft Bien & Bensoul Below:
Sipendi ukitokanga sherehe mapema ukiniwacha solo kwa keja
Spendi ukinitoanga timing when you’re whining
Bad birl come find me, mbogi iki-call ni dangerous
Ju me sinanga roho ya kusema no-no-no
Stay close to your phone baby you already know
Kila saa nikilewa natoanga simu natumia watu pesa oh nikilewa
Nakupigia simu naku-show nakupenda, usi take jua nikilewa
Staki jua nikilewa, ujavuka nimelewa, ujavuka nimelewa
Kila saa nikilewa, ogopa ka nimelewa, kila saa nikilewa, ogopa ka nimelewa
Kila saa niki stone me hu kaa mbali na phone
Ju we hu ni ingisha kwa zone
Sad n**** hours, crying in the shower
Nime miss your cologne, nime miss uki-moan
I remember your tone, naweza sample kwa song
Watu waki-clout I miss making love na nikiwasha tap
Nakumbuka hiyo wap uliniweka kwa trap its a wrap
Hii kitu inaslap no cap, ulini-kill madam na tuliseal deal na dam
Kila saa nikilewa na toanga simu na tumia watu pesa oh nikilewa
Nakupigia simu na ku show nakupenda, usi take jua nikilewa
Ogopa ka nimelewa , ogopa ka nime lewa