SHARE

Read Nihurumie Lyrics By Killy

SHARE

Read Nihurumie Lyrics By Killy. The song is Killy's first release since departing from Harmonize's record label "Konde Music Worldwide"

READ ALSO: Watch Former Konde Gang Signee, Killy Vibing To Diamond Platnumz's Yatapita

Read Nihurumie Lyrics By Killy Below:

Hata ipigwe parapanda 

We ni chizi miziki 

Hata nkaroge nishuke nkipanda we huambiliki 

Nikupige ngumi ama mikanda 

We kutwa kwa marafiki 

Eti we ndo chema changu chanda 

Mumeo sina hata dhiki 

Inaniuma sana 

Daily unaruka makopo,Hennessy na madompo

Mtaani unapita na jopo wasikusogelee

(oooh yeeeah)

Unakunywa bia za mkopo,hulali usiku kama popo

Umekuwa mlupoo ooh ooh ooooh

Mara huko Tabata Bima naskia unatembea na madingi

Unajitupa mzima mzima ukishalewa unatenda hujikingi

Usoni unaonekana mkimya ila unavyofanya ni vingi

Nyota unataka kuizima na mi ndo nlikupenda sipingi dah…!!!

Nihurumieee eeeh eeeh (NIHURUMIE)

Kweli nakonda silali naomba unihurumiee

(NIHURUMIE)

Au labda mi ndo sina mvuto wuwu wuuuwu (NIHURUMIE)

Kama nakosea samahani nihurumiee eeeh oh ooh

Nikivuta taswiraaa aah..!!

Sura inapoteza nuru

Presha inapanda hasira

Kweli vita vya panzi kunguru

Njoo unikumbatie kwa mara ya mwisho kabla sijafa

Lazima nikwambieee sikupi vitisho natapa tapa

Kuta za moyo wangu zina nyufa umeziharibuuuuuh pendo langu unalitupa ah..!!

Mara upo Tabata Bima naskia unatembea na madingi

Unajitupa mzima mzima ukishalewa unatenda hujikingi

Usoni unaonekana mkimya ila unavyofanya ni vingi

Nyota unataka kuizima na mi ndo nlikupenda sipingi dah…!!!

Nihurumieee eeeh eeeh nihurumie 

Kweli nakonda silali naomba unihurumiee nihurumie 

Au labda mi ndo sina mvuto wuwu wuuuwu nihurumue 

Kama nakosea samahani nihurumiee eeeh oh ooh

Nihurumie - Killy

Related

ADVERTISEMENT