SHARE

Read Nakimbilia Kwako Lyrics By King Kaka Ft Solomon Kaka

SHARE

Read Nakimbilia Kwako Lyrics By King Kaka Ft Solomon Kaka. The song has been well-received in Kenya and East Africa.

READ ALSO: VIDEO: King Kaka ft. Kidum - Hullo

Nakimbilia Kwako Lyrics By King Kaka Ft Solomon Kaka Below:

Mimi yoyooo nakimbilia kwako 

Ooooh yoh yoh 

Nakimbilia kwako 

My everything nakimbilia kwako 

Ooooh oooh 

Nakimbilia kwako 

Mmmh my redeemer 

Nakimbilia kwako

 Aaaah aaah oooh 

Nakimbilia kwako 

Nakimbilia kwako ok 

Bwana 

Sa hii nakua success view zao lambo 

Ulinijua kabla na tangu kitambo 

For God so loved ukaleta mkid wako 

Nashangaa sana i say mkini-battle 

Neema yako tupu plus na-stay 

Kwako natuou guided na trust na faith 

Endelea kuredefine what we call success 

I was wanted number one suspect 

Juu ya miti na zakayo 

Rusha macho huko 

Nimeenda vitoweo nyake na masupu 

I was afraid sababu mi ni muoga 

Run to you kipsalms sabini moja 

Ashukuriwe Mungu wa mbinguni

(am thankful) 

Atupaye uzima

(true) 

Ashurukiwe Mungu wa 

Mbinguni atupaye maisha 

Mahali nimefika (where from) 

Ni mkono wako (where am headed) 

Mahali nimefika ni uwezo wako bwana 

Nimekuona ukinitendea daaa true 

Nimekuona ukipigana vita vyanguuu

Isingelikua wewe bwana ningekuwa wapi oooh 

Kaburivingenimeza wazi eeish 

Umeniokoa huko 

Bwana uhimidiwe glory to you 

Nakimbikila kwako

Oooh nakimbilia kwao 

Mfariji wa moyo 

Nakimbilia kwako 

Dawa yangu nakimbilia kwako 

Oooh nakimbilia kwako bwanaaa 

Oooh yes nitafute sababu ni kama napotea 

Nakimbilia kwako juu najua utanipokea 

Yako pure sio poa yaani haina doa 

Check roho yangu since macho 

Haioni poa 

Unavuta vitu zangu juu kisuspender 

Sikujua unaesa weigh but surrender 

Ukini zare ukweli sitapenda 

Na mimi hadi pharaoh aseme basi enda 

Kuna kasimama ya ya journey ikisonge 

Yooo created bolt na kipchoge 

Mimi niko ready we sema njia gani 

Ushani-equip love na imani 

Dunia hii ni vanity vanity 

Vijana bila Yesu ni vanity vanity 

Umaarufu bila Mungu ni vanity vanity 

Yasolo yonsasabe na boringo 

Navinang’ai 

Yose baba nang’ai naye namaboko nayoo 

Natik king kaka 

Namaboko nayo Yesu 

Boringo nayooo pema wanayo

Likoro nayeee (taamu sana) 

Osa baba na bisu opoya 

Kamwana nayooo te

Osa baba na bisu opoya 

Kabana nayooo te

Tumitik namabako nayoo Yesu 

Batera bomoi na bisu yoyoy 

Batera kondi ma ya kaka 

Batera batera yeiyeee 

Makonzi nayo toyo

Komi pesa ebai yo 

Nakimbilia kwako mimi eeh

Nakimbilia kwako 

My everything nakimbilia kwako oooh 

Msaada wa maisha yangu nakimbilia kwako 

Umenitoa mavumbinu 

Nakimbilia kwako 

Umenitoa kwenye shida nakimbilia kwako 

Umeniokoa nikawa mzima nakimbilia kwako 

Ooooh nakimbilia kwako nakimbilia kwako 

Mwanaume wangu Yesu nakimbilia kwako 

Wala sikuachi hata milele 

Nakimbilia kwako 

Aaah Aaaah Uuuh 

Gidy Vybz 

Nakimbilia Kwako

Related

ADVERTISEMENT