Mchuchu Lyrics by Mocco Genius Ft Ali Kiba
Read and sing aloud Mchuchu Lyrics by Mocco Genius Featuring t Ali Kiba. This is the second collaboration between the two Tanzanian heavyweights.
READ ALSO: Mi Nawe Lyrics Lyrics by Mocco Genius Ft Marioo
Read and sing aloud Mchuchu Lyrics by Mocco Genius Featuring t Ali Kiba below:
Mimi nimekuona wewe
Katika mamia ya wengine
Hot stories
Mi wa kwako wewe
Hakika sina mwingine
Wa maisha yangu wa maisha yangu
Wa maisha yangu wa maisha yangu
Ona hata mama aliniambia kila kitu
Changu cha kwako wewe cha kwako
Nakupa mchuchu moyo wangu wote
Nakupa mchuchu moyo wangu wote
Nakupa mchuchu moyo wangu wote
Nakupa mchuchu moyo wangu wote
Mbusu tu nazima
Mahaba yako mazito ukiyapima
Uwezo sina ningekuhonga madinar
Na kwa hii dunia iitwe kwa lako jina
Ooh nilikwambiaga ulinipende mimi tu
Mapenzi ya kumwaga oooh
Wa maisha yangu wa maisha yangu
Wa maisha yangu wa maisha yangu
Ona hata mama aliniambia kila kitu changu
Cha kwako wewe cha kwako
Nakupa mchuchu moyo wangu wote
Nakupa mchuchu moyo wangu wote
Nakupa mchuchu moyo wangu wote
Nakupa mchuchu moyo wangu wote