Read Follow Me Lyrics By Aslay Featuring Harmonize
Read, sing aloud and enjoy Follow Me Lyrics By Aslay Featuring Harmonize. The song marks Aslay's official comeback in the Bongo Fleva music industry.
READ ALSO: Kitanda Lyrics By Jux Featuring Marioo | READ
Read Follow Me Lyrics By Aslay Featuring Harmonize Below:
VERSE 1
Ok Sina pesa kama billgate
Nina pesa tu zakukufanya husincheat
Nitakupa tamu yani mapenzi ya dhati
Follow me
Eh we mtamu kama keki
Uzuri wako ex wangu haufikii
Nakuomba baby please follow me
Nimefunga break nimeweka nukta
Kwenye barabara umeweka tuta
Yani we ndo beki bonge la ukuta baby
Unakula alichokisusa (ex)
Unakula nyama mpka mifupa (ex)
Unataka nini mm nitakupa baby
Navunja nazi wa hubani
Nachotaka uwe nami baby follow me
Nimefumba macho sioni
Umeniweka moyoni baby follow me
CHORUS
Follow follow follow me
Mwenzako hoi tahabani sitaki kukuacha
Please follow me
Call call call me
Nakupenda wala sikutamani
Usije kunikataa please follow me
VERSE 2
Hivi watajuaje kama unanipenda
Usiponifata kila ninapokwenda
Ila macho kuona ningekupiga denda follow me
Oh siku tukiachana ni Mungu amependa
Ila si kwa maneno ya wanakwenda
Watatuona mbele tunakwenda follow me
Sawa baby nitaanzaje kukuacha
Wakati mi na we mapacha
Wanakuja wanatwacha follow me
Honey honey
Sina gari na nyumba ila kinatutosha kichumba
Nikifumba macho we fumba follow me
Oh mwenzako navunja nazi wahubani
Ninachotaka uwe nami please follow me
Ukweli wangu wa moyoni mwengine sioni
Please follow me
CHORUS
Follow follow follow me
Mwenzako hoi tahabani sitaki kukuacha
Please follow me
Call call call me
Nakupenda wala sikutamani
Husije kunikataa please follow me
OUTRO
My baby come to me
My baby follow me
Please baby kuwa nami