Read 'Bongo Favour' Lyrics by Khaligraph Jones
Read Bongo Favour Lyrics by Khaligraph Jones. The song has been well received by fans in Kenya and East Africa and general.
READ ALSO: Read One More Time Lyrics By Barnaba Classic Ft Khaligraph Jones
Read Bongo Favour Lyrics by Khaligraph Jones Below:
Ole Ole Ole Ole
Ole Ole Ole Ole
Ole Ole Ole Ole
Ole Ole Ole Ole
Yeah nafanya TZ mbogi ipanic
Wakiona OG amejam zogo
Big rappers mbona mnaplans kidogo
Na sitafuti kiki buda Omollo brand global
Somebody had to tell these guys
That wanaburn photo
Kusema ukweli Bongo rap imenilea
But mnalegea na ndo maana nawadare
Na sijakosea but some of your people
Need a prayer
Bongo rap ain’t been the same
Ever since mmempoteza Ngwair
And heavyweights hamtoi
Ngoma ka kitambo
Oooh now you know some of you
Said that Roma alini-humble
Na sitabishana coz Padre
Alinifungulia mlango
Then he disappeared
Siku hizi hatujui zake pango
Young Killer ameingiza amazing
Ever since afunge ndoa
Kuna time niliamini Bongo hiphop
Angeiokoa
Sina ubaya brither na sikatai unafanya
Poa but mi si shabiki ya hizo ngoma
Mpya unatoa
Taking over TZ ain’t nothing easier
Wakazi anafaa apewe kazi Wasafi Media
Brother ni blogger kubonga tu kwa mtandao
Marekani hawakutaki na TZ wamekudharau
Hip Hop ya TZ sai ni kama kuseti
Bubu choir
Mmekimya wote mnafaa mng’otwe na
Dudu baya mnashinda Insta mkipiga picha
Na luku mbaya