SHARE

BamBam Lyrics by D Voice Featuring Zuchu.

SHARE

Read and enjoy BamBam Lyrics by D Voice featuring Zuchu. The song is track number 3 in D Voice's debut album titled Swahili Kid

An image of D Voice, Tanzanian artist

BamBam Lyrics by D Voice Featuring Zuchu

Washumba na mashumba wena

Haitoki haikatai
Naenjoy mapenzi ananipenda wallah
Sikuhizi kiboss acha nijidai
Penzi limefana kama suti na tai limenogaa
Raha tu chumbani bafana bafanaa
Kitandani ana nichezesha sheree
Nimeoza moyo maini maini mpaka bandama
Ye ndo kucha kanikuna kipelee

Asa wenzenu leo hatulalii (kitandani cha moto)
Wakubwa tunakesha kulala tuwaachie watoto
Usiku ndo hatarii (moto juu ya moto)
Tunazama sayari yani chocho juu ya chocho

Mi na yeye bambam
Ye ni hawa mi adam dam dam
Wenzenu penzi letu tam tam tam
Mi na yeye dam dam dam

Zuchu chu chu
My baby good morning itika how are you
(How are you)
Mi siko fine toka jana usiku
Nisipokuona tu honey mi presha yawa juu (Yawa juu)
Naogopa vinyani visikuibe my boo
Ooh kwake natolewa miba wa samaki kole kole
Ooh ananilisha nashiba kisha ananipa pole

Onana
Onana nana ono nono
Pendashana i ilove more more
Natukigombana mtulize mishono
Tunajuana mtachoka midomo

Wenzenu leo hatulalii (kitandana cha moto)
Wakubwa tunakesha kulala tuwaachie watoto
Usiku ndo hatarii (moto juu ya moto)
Tunazama sayari yani chocho juu ya chocho

Mi na yeye bambam
Ye ndo hawa mi adam dam dam
Wenzenu penzi letu tam tam tam
Mi na yeye dam dam dam

Onana nana ono nono
Pendashana i ilove more more
Natukigombana mtulize mishono
Tunajuana mtachoka midomo

Read Other Latest Song Lyrics Here

Get Fresh updates as they drop via Twitter and Facebook

Related

ADVERTISEMENT