SHARE

Komando Lyrics by G Nako Featuring Diamond Platnumz

SHARE

Read and enjoy Komando Lyrics by G Nako Featuring Diamond Platnumz. The long-awaited collaboration is now making waves in East Africa.

diamond platnumz mtv ema

Mhh…

(Yeah.!)

Waaraaa…h!

(Leo lion simba na zombi wa mazombi)

We zombie.. !

(Leo lion simba na zombi wa mazombi)

Haujui..!?

(Leo lion simba na zombi wa mazombi)

We zombie

(Leo lion simba na..!)

Na simba la masimba dangote

Omalicha, omalicha..!

Wowowo feki unatingisha

Unaona sifa, tu misifa

We endelea kuzigida utazilipa

We jifanye born hapa

(Mzaliwa)

Na chako tukikitaka

(Kinaliwa)

Wana…….

(Maziwa)

Japo fululu mi matter

(Unalia)

Kwanza poleni, poleni

Nawapa wote poleni

Nawatakia poleni

Nawasalia poleni

Ee, mlioachwa

(Poleni)

Mnaodai

(poleni)

Msio na baby

(Poleni)

Mkakojoe

(Kalaleni)

Komando, komando

(Waambie sisi ndio vipensi komando)

(Waambie sisi ndio vipensi komando)

Kanfuma na katoto katanga

Kamfuma kametoka na kanga ghetto

(Ehh..)

Kanfuma na katoto katanga

Kamfuma kametoka na kanga ghetto

Abah tiee..!

Abah wenah..!

Oh my queen

Nipe tena

Apa chini

Shuka tena

Ona nini.?

Unahema.!

Mchepuko leo nae kasalitiwa

Mke wa mtu sumu kuna maziwa

Maziwa na kutaitiwa

(Tiwa savage)

Umealikwa, umealikwa

We njoo na mpunga patakalika

Mashimo yote kanapita

Twende milima na mabonde panapitika

Kwanza poleni, poleni

Nawapa wote poleni

Nawatakia poleni

Nawasalia poleni

Ee, mlioachwa

(Poleni)

Mnaodai

(poleni)

Msio na baby

(Poleni)

Mkakojoe

(Kalaleni)

Komando, komando

(Waambie sisi ndio vipensi komando)

(Waambie sisi ndio vipensi komando)

Kanfuma na katoto katanga

Kamfuma kametoka na kanga ghetto

(Ehh..)

Read Other Latest Song Lyrics Here

Get Fresh updates as they drop via Twitter and Facebook

Related

ADVERTISEMENT