Read Niko Poa Lyrics By Mr Seed
Read And Sing Aloud Niko Poa Lyrics By Mr Seed. The song has been well-received in Kenya and East Africa
READ ALSO: VIDEO : Mr Seed & Bahati - Kumbe Kumbe
Read Niko Poa Lyrics By Mr Seed Below:
Mmmh Mr Seed again
My baby nimo darling eeeh
Jipe moyo usilie
Hot stories
Wanaoulizia waambie
Mi niko poa eeeh
My baby nimo darling eeeh
Jipe moyo usilie
Watoto wakiuliza waambie
Mimi niko poa
Ingekuwaje eeeeh
Ningeondoka mamy eeh
Ingekuwaje eeeh
Ungenimisi niambie
Niki-remember that day
Ni katoday
Niko kwa floor
Na fight na death
Nafunga macho
Bado napray
Baba usinichukue
Niko na stress
Niko kwa bed
Siwezi walk
Niko kwa pain
Landlord bado
Anangoja rent
Baba nihurumie
Ila niko poa
Umenilinda poa
Familia poa
Nakushukuru mola
Ila niko poa
Umenilinda poa
Familia poa
Nakushukuru mola
Mungu alicheki akasema bado
Mapenzi yetu yasonge bado
Nitakupenda hata nifunge macho
And i will love you ooh baby
I will die with you (Oooh)
Forever by you my lady
I will live with you
Mungu alicheki akasema bado
Mapenzi yetu yasonge bado
Wangehuzunika majirani
Na je mafisi na wasanii
Na mke wangu nimwachie nani
Naskia kulia
Niki-remember that day
Ni katoday
Niko kwa floor
Na fight na death
Nafunga macho
Bado napray
Baba usinichukue
Niko na stress
Niko kwa bed
Siwezi walk
Niko kwa pain
Landlord bado
Anangoja rent
Baba nihurumie
Ila niko poa
Umenilinda poa
Familia poa
Nakushukuru mola
Ila niko poa
Umenilinda poa
Familia poa
Nakushukuru mola
Wangehuzunika majirani
Na je mafisi na wasanii
Na mke wangu nimwachie nani
Naskia kulia