Read Juu Lyrics By Geniusjini Ft Jay Melody
Read Juu Lyrics By Geniusjini Ft Jay Melody. The song has been well received by Bongo Fleva from the day of its release.
READ ALSO: Read Sawa Lyrics By Jay Melody
Read Juu Lyrics By Geniusjini Ft Jay Melody Below:
Owlooh loohh
Oloo looh
Oooh jay once again
Jini another one
Love is what I see,when I look at you
This thing I see, nobody separate
I go be your Mbappe,speed beck
I go follow your rules,to make you happy and cool
Unajua Mimi sina helaa,ila nikiwa na wewe najiona tajiri
Babe unajua Mimi sina helaa,ila nikiwa na wewe najiona tajiri
Na feel naelea juu juu,napaa juu juu
Naelea juu juu,Napaa juu
Na feel naelea juu juu,napaa juu juu
Naelea juu juu,Napaa juu
Kuna kihali fulani mwenzako na hisii
Kama kibaridi mwenzako na hisii
Kama kikizidi pooza na kiss
Haya baby iiih
Hizo nyama nyama zako ongeza na chips
Kiuno laini bila ya gilisi
Wakitusumbua tuite police
Maana hawapendi
Unajua Mimi sina hеlaa,ila nikiwa na wewe najiona tajiri
Babe unajua Mimi sina hеlaa,ila nikiwa na wewe najiona tajiri
Na feel naelea juu juu,napaa juu juu
Naelea juu juu,Napaa juu
Na feel naelea juu juu,napaa juu juu
Naelea juu juu,Napaa juu
Yes I call you babe babe ,honey honey
Ooh sweet my babe boo
Mimi nakwita babe babe
Ooh honey honey
Ooh sweety my babe boo