Read Tunapendeza Lyrics By Ibraah Featuring Harmonize
Read Tunapendeza Lyrics By Ibraah Featuring Harmonize. The song marks another time that Ibraah has hyped in Amapiano.
READ ALSO: Read Yatapita Lyrics By Diamond Platnumz
Read Tunapendeza Lyrics By Ibraah Featuring Harmonize Below:
Kama mapenzi yangekuwa nyumba we mchanga mi tofali
Waseme umenufanyia ndumba mie hata sijali
Nsipokupenda wewe ntampenda nani
Hot stories
Yaani kama nsipokupenda wewe ntampenda nani
Mjeshi kamanda nna nyota ila kwenye mapenzi nasota
Usiku nikilala nakuota nakuota wewe hapo
Mjeshi kamanda nna nyota ila kwenye mapenzi nasota
Usiku nikilala nakuota nakuota wewe hapo
Pancha mi moyo wangu pancha bila wewe siwezi tembea siwezi tembea
Usije ukaniacha baby ukaniacha wanafika watanizomea watanizomea
Mimi na wewe tu Tunapendeza Tunapendeza
Mimi na wewe tu Tunapendeza Tunapendeza
My baby uuuuh Tunapendeza Tunapendeza
Niambie Youuu Tunapendeza Tunapendeza
Na ukiwa mbali nakumiss upweke si jambo rahisi jichunge wa nakuona ibilisi
Tunavyogombana kesho tukapatana kipimo tosha
tunapimana kiasi gani tunapendana
Tunavyogombana kesho tukapatana kipimo tosha
tunapimana kiasi gani tunapendana
You are you are, you are the one I'm going to marry
uwe wa halali uwe wangu tu
Pancha mi moyo wangu pancha bila wewe
siwezi tembea siwezi tembea
Usije ukaniacha baby ukaniacha wanafika
watanizomea watanizomea
Mimi na wewe tu Tunapendeza Tunapendeza
Mimi na wewe tu Tunapendeza Tunapendeza
My baby uuuuh Tunapendeza Tunapendeza
Niambie Youuu Tunapendeza Tunapendeza
Listen To Tunapendeza By Ibraah Here: