SHARE

Read Uongo Lyrics By Rapcha

SHARE

Read And Enjoy Uongo Lyrics By Rapcha. The song has been well received by fans in Tanzania and East Africa in general.

READ ALSO: Read Nikuone Lyrics By Dayoo

Read Uongo Lyrics By Rapcha Below:

Ndani ya dakika mbili nafika apo usichoke no usichoke 

Ndani ya siku kama mbili makupeleka shoppig mall usikonde

Ndani ya wiki ka mbili ,kuna heka naipata so it’s okay 

Ndani ya miezi miwili nitakupeleka upaone home

Usikonde yeah usikonde 

Nilikuwa busy tu na kazi nilisinzia mapema juzi

Afu pia simu ikuwa na charge nikaamkia ofisini kazi ni nyingi 

Me ndo nikawa incharge afu weekend nitakua shytown

Maana wazazi wananitaji

Uongo ebana huo ni uongo uoo uoo

Uongo ebana huo ni uongo uoo uoo

Uooooo  uoo

Uooooo uoo

Jua najali sanaa hisia zako so sometimes huwa I have to lie 

Nikisema kile ambacho we unaitaji kusikia unaeza die 

Ubaya kila ambavo nitajibu we lazima ucry 

Siunajua nakupenda walah aya makosa aya makosa I don y

Plus nikikupa ukwel mtupu kesho tyu utaondoka 

Uku utanitia aibu nibaki mtupu

nibaki mtupu ntasimwanga kila group 

Uefa imeanza by the way leo usiku ntakuwa busy 

Afu keshokutwa naenda marathon ntakumiss ile kichizi

Uongo  ebana uongo huo ni uongo uoo uoo

Uongo ebana uongo huo ni uongo uoo uoo

Uooooo uoo

Uooooo uoo

Uwaga napenda ngenga sipendi nge

Related

ADVERTISEMENT