SHARE

Read Baba Mwema Lyrics by Beda Andrew

SHARE

Read Baba Mwema Lyrics by Beda Andrew. The gospel song the Arc Music's signee second release this year

READ ALSO: Gospel heavyweight, Beda Andrew Thrills Fans With A New Single 'Baba Mwema'

Read Baba Mwema Lyrics by Beda Andrew below:

Baba eeeh Baba eeeh Wewe Umwema Eeeeh

(Baba eeeh Baba eeh Wewe Umwema aaah)

Jinsi matendo yako Yananishangaza Mie

(Baba eeeh Baba eeeh wewe umwema)

Baba weeeeh eeeh Umwema

(Baba eeeh Baba eeeh Baba eeeh wewe umwema)

Verse 1

Ulivyonitenda Mie(Mie)

Sina maneno Mie(Mie)

Yakutosha Kusema asante

Hata nitoe nini mie(mie)

Kama sadaka mie (mie)

Haitoshi Kulingana na wema wako kwangu eeee

Tokea mafichoni uliniona mie

Nilifunikwa na Giza nene eeenh

Siri ya Moyo wangu nilidhani mie

Mi ni wa chini juu sikustahili yeeeeh

(Pale lilipotanda giza)

Asubuhi nayo ikaja nuru ya haki ikanizukiaaaah aaah 

(Giza liliponiandama)

Kwa huruma ukaniokoa ukanichukua na kunitakasa aaah aaah 

Chorus

Baba eeeh Baba eeeh Wewe Umwema Eeeeh

(Baba eeeh Baba eeh Wewe Umwema aaah)

Jinsi matendo yako Yananishangaza Mie

(Baba eeeh Baba eeeh wewe umwema)

Baba weeeeh eeeh Umwema

(Baba eeeh Baba eeeh Baba eeeh wewe umwema)

Baba Umwemaaaah Yesu umwema eeenh

Kweli umwema aaah Mungu wangu umwema aaargh 

Baba umwemaaaah Yesu Umwema eeeenh

Kweli umwema aah

Mungu Wangu umwemaaah (Nitakushukuru wewe)

Baba umwema Yesu umwema eeenh Kweli umwema

Mungu wangu umwemaaa (Nitakushukuru wewe)

Related

ADVERTISEMENT