My G Lyrics by Rich Mavoko
Rich Mavoko Lyrics
Read and sing aloud My G Lyrics by Rich Mavoko Lyrics. The song marks another time Rich Mavoko has scored a hit song.
READ ALSO: Rich Mavoko Drops New Album 'Fundi'
Mhmm ye mhyee eeee
Wowoo
Tushazoea kuishi low key
Kutafuta hatuchoki
Tunacho hatuna hatushoboki
Na pande zao hatutoki
Naishi gengstar life na ndo life ya mtaa
Muhuni utajikataa
Usiponimanya hujajipata
Nikitajwa utajing'ata
Hot stories
My G warume ndago ndo sisi OG
Tutumie bongo tujitahidi
Tuforce michongo Ile kigaidi tufaidi
My G warume ndago ndo sisi OG
Tutumie bongo tujitahidi
Tuforce michongo Ile kigaidi tufaidi
Oooh my G
Hustle (mhh)
Hustle(mhh)
Hustle(mhh all day hustle)
Hustle (toka weekend weekend)
Hustle (japo ni spend na spend)
Hustle (usijeua bend upo bend)
(All day hustle)
Baraka za mama Mungu abless Mzee
Waloniona mavi wanione keki eee
Hakuna kingine
Nangoja better day
Leo wanatuona kwenye tv
Juzi tulishinda kwa masizi
Hii ni kwa machizi
Wanao tafuta kichizi
One day itakua yes (aaae)
Tutafungua mageti(aaae)
Kubadilisha Kash(aaae)
Mikeka kwa kubet (aaae)
My G warume ndago ndo sisi OG
Tutumie bongo tujitahidi
Tuforce michongo Ile kigaidi tufaidi
My G warume ndago ndo sisi OG
Tutumie bongo tujitahidi
Tuforce michongo Ile kigaidi tufaidi
Oooh my G
Hustle (mhh)
Hustle(mhh)
Hustle(mhh all day hustle)
Hustle (toka weekend weekend)
Hustle (japo ni spend na spend)
Hustle (usijeua bend upo bend)
(All day hustle)
Na tukitoka na Wana tukitoka
Tukitoka wanangu tukitoka
Tukitoka na Wana tukitoka
Na pull up inakua unyama
Natukitoka na Wana tukitoka
Tukitoka wanangu tukitoka
Tukitoka na Wana tukitoka
Na pull up inakua unyama
Odade dadade
Isa billion billionaire billionaire
Bad man rich n again
Onana again yeyeye
Oh yayaye