SHARE

Read Mambo Matano Lyrics by Lady Jaydee

SHARE

Read Mambo Matano Lyrics by Lady Jaydee. The song is well received by fans in Tanzania and East Africa in general.

READ ALSO: Read Sumu Lyrics By Ali Kiba Featuring Marioo

Read Mambo Matano Lyrics by Lady Jaydee below:

Nazi aliitia kwenye chai 

Ghafla disco likaingia masai 

Kumbe mwenzake nili-focus mbali 

Na kunifikia inataka utayari 

Si alitaka mwenyewe 

Kutengana na mimi 

Hivi mwembamba ama mnene 

Hebu semeni nyinyi 

Na zile tambo za mjini pindi 

Yuko na mimi 

Saivi viatu anachanganya na 

Vyombo anatia kabatini 

Mnasemaje huko yupo sawa mnieleze 

Ama mnamuonaje anajikongoja 

Doze doze 

Mnasemaje huko yupo sawa mnieleze 

Ama mnamuonaje anajikongoja 

Doze doze 

Moja mi huwaga sina presha 

Leo sisemi sana 

Nina mambo matano 

Pili mjini sijaja kucheza 

Leo sisemi sana 

Nina mambo matano 

Tatu sifundishwi kupenda

Leo sisemi sana 

Nina mambo matano 

Nne sirudishi mateka 

Leo sisemi sana 

Nina mambo matano 

Mi huwaga sina presha 

Leo sisemi sana 

Nina mambo matano 

Pili mjini sijaja kucheza 

Leo sisemi sana 

Nina mambo matano 

Tatu sifundishwi kupenda

Leo sisemi sana 

Nina mambo matano 

Nne sirudishi mateka 

Leo sisemi sana 

Nina mambo matano 

Tano moyo wangu 

Mi ni treasure 

Huku mwenzake naenjoy 

Naongezeka thamani 

Hapa nilipo hamnitoi 

Maana naiona amani 

Naiona fursa 

Naiona future 

Nimeweka nukta naenjoy 

Naiona true love 

Naliona Huba 

Na sipotezi muda 

Mnasemaje huko yupo sawa mnieleze 

Ama mnamuonaje anajikongoja 

Doze doze 

Mnasemaje huko yupo sawa mnieleze 

Ama mnamuonaje anajikongoja 

Doze doze 

Moja mi huwaga sina presha 

Leo sisemi sana 

Nina mambo matano 

Pili mjini sijaja kucheza 

Leo sisemi sana 

Nina mambo matano 

Tatu sifundishwi kupenda

Leo sisemi sana 

Nina mambo matano 

Nne sirudishi mateka 

Leo sisemi sana 

Nina mambo matano 

Mi huwaga sina presha 

Leo sisemi sana 

Nina mambo matano 

Pili mjini sijaja kucheza 

Leo sisemi sana 

Nina mambo matano 

Tatu sifundishwi kupenda

Leo sisemi sana 

Nina mambo matano 

Nne sirudishi mateka 

Leo sisemi sana 

Nina mambo matano 

Tano moyo wangu 

Mi ni treasure 

Related

ADVERTISEMENT