SHARE

Kim Jong Un Lyrics - Wakadinali

SHARE

Read and enjoy Kim Jong Un Lyrics By Wakadinali. The song marks another time that the Kenyan Hip Hop group has released a smash hit.

READ ALSO: Read McMca Lyrics By Wakadinali

Read and enjoy Kim Jong Un Lyrics By Wakadinali Below:

Dunga agents mtaani

Yuts waliingiza round Umo 2

Kudunga nduthi mtapo na ma3

Real definition ya thug

Umeskia report ya DCI

Bro amekuwa Kim Jong Un

Mpini ndeng'a ni impromptu

Dunga agents mtaani

Yuts waliingiza round Umo 2

Kudunga nduthi mtapo na ma3

Real definition ya thug

Umeskia report ya DCI

Bro amekuwa Kim Jong Un

Mpini ndeng'a ni impromptu

(Suu suu suu) 

Ndo ujue snitch hana haki kutathoka

Morio alinifichia white ju ni nyoka

Hater, yard kwao saa sita

Kupunguza hasira mi humkuta

Yu hujifind ngware kwa mrota huyo mkora

Na ndio mahali usiku aling'orota

Riswa, walikam na nguvu za giza wakaokotwa

Wakaita Mungu na Jesus waliokoka

Wasenge walibeba mawe kwa fight 

Wakatokwa wallet kwa toja

Ma Hessy si waukula rwabe rwabe

Walihema bribe tu na mi nikatoboka

Manze si Mungu ni wa maajabu

Hio kesi ilikuwa blunder na brathe nikamochoka

Masenke walihepa zabe 

Hessy akashanda boyz hakukuwa mboka

Za Dosh ni ma emoji oh Gosh

Na ni vile yunikalia kwa mboto Azziad Nasenya

Nashuku hapa lazma nitagenya

Nyonyo zimesimama dashboard 

Plus kuna picha alinitumia huyo manzi na ni senye

Wasee wa kulete upuzi waende nje

Sai nitawareport hizo biashara haziko

Zaga za mtaa juu ya ghorofa 

Mi huziona full resolution HD

Secret agent MI6 warudi tuition

Mi huzimwa tonji kama niko riko

Sema nilipata missed call 

Dunga agents mtaani

Yuts waliingiza round Umo 2

Kudunga nduthi mtapo na ma3

Real definition ya thug

Umeskia report ya DCI

Bro amekuwa Kim Jong Un

Mpini ndeng'a ni impromptu

Dunga agents mtaani

Yuts waliingiza round Umo 2

Kudunga nduthi mtapo na ma3

Real definition ya thug

Umeskia report ya DCI

Bro amekuwa Kim Jong Un

Mpini ndeng'a ni impromptu

[Sewersydaa]

Chogi haelewi venye hio squad iliingia na kuna detector

Waliotea morio wakasafisha kama nuclear wakakula vector

Sai kuna order imefika shoot to kill ni wa armed and dangerous

According to raia, body za gava na intel' ya federal

Songa jo morio kuna exchange hio pande ya Nyando

Copanol moto anaface madingo walikula na Nandos yoh

Sai uko kwa list ya tano na kwa mdomo za wathii ka Saigon

Sijui tucheze flat nayo tunakuona hadi kwa Windows upload

Crime si rahisi jo, bro ako na deng'a na hajui ku-icock

Ulipatiwa fiti, freezy, kumbe jo hunanga kijiko

Uliingizwa baridi na cops, kama maiti imelala kwa njifi

Hauskii shit, umekuwa binti ya the Danton kiziwi

Ten times uliambiwa na Forbes

Ona sasa unaobey gravity force

Mbleina si ukapige report

Nangoja kukuskia kwa Gidi na Ghost

Avoid huyo cop ka unaweza

Kwanza ako idle na hanaku form

Nilifanya dem yake nikamgeuza wife 

Sai ako kwa bed of roses

Dunga agents mtaani

Yuts waliingiza round Umo 2

Kudunga nduthi mtapo na ma3

Real definition ya thug

Umeskia report ya DCI

Bro amekuwa Kim Jong Un

Mpini ndeng'a ni impromptu

Dunga agents mtaani

Yuts waliingiza round Umo 2

Kudunga nduthi mtapo na ma3

Real definition ya thug

Umeskia report ya DCI

Bro amekuwa Kim Jong Un

Mpini ndeng'a ni impromptu

Related

ADVERTISEMENT