SHARE

Read Body Lyrics By Mac Voice

SHARE

Read Body Lyrics By Mac Voice. The song has been well received by fans in Tanzania and around East Africa

READ ALSO: Read Ukinichiti Lyrics By Mac Voice

Read Body Lyrics By Mac Voice Below:

Hivi niliachwa? Jamani 

Mmmh Mmmmh

Naomba mnikumbushe 

Mmana huyu wa sasa 

Kafanya wa zamani nimtupe 

Saivi presha sina 

Stress sina 

Wapi pana utulivu nije 

Na shemeji yenu 

Saivi presha sina 

Stress sina 

Wapi pana utulivu nije 

Na shemeji yenu 

Mana ananipatia 

Mapenzi hisia 

Nishajifia kwake

 Sina maneno 

Baby wangu Anabody  

Anabody Anabody 

Anabody Anabody 

Anabody Anabody 

Geuka waone hilo body

Hilo body hilo body 

Hilo body hilo body 

Chezesha body 

Hilo body hilo body 

Hmmmmh Mmmmh 

Baby wangu ni mpole 

Mtulivu hanaga neno na mtu 

Iyeeeeeh 

Baby wangu ni mpole 

Mtulivu hanaga neno na mtu 

Ila akilewa 

Umlando Adiwele jagaimaster 

Ayayayaya 

Umlando Adiwele jagaimaster 

Ila akilewa 

Umlando Adiwele jagaimaster 

Umlando Adiwele jagaimaster 

Ayayayaya 

Aniibie nani 

Oooooh nani 

Wakati nna bigezo vyote 

Vya kuwa na yeye 

Amdangie nani ? 

Ooooh nani 

Wakati na mihela yote 

Ya kumuhonga yeye 

Look at you at you 

At you At you 

You’re so beautiful my dear 

Eeeeh 

Look at you at you 

At you At you 

You’re so beautiful my dear 

Eeeeh 

Baby wangu Anabody  

Anabody Anabody 

Anabody Anabody 

Anabody Anabody 

Geuka waone hilo body

Hilo body hilo body 

Hilo body hilo body 

Chezesha body 

Hilo body hilo body 

Mmmmmmh 

Baby wangu ni mpole 

Mtulivu hanaga neno na mtu 

Iyeeeeeh 

Baby wangu ni mpole 

Mtulivu hanaga neno na mtu 

Ila akilewa 

Umlando Adiwele jagaimaster 

Ayayayaya 

Umlando Adiwele jagaimaster 

Ila akilewa 

Umlando Adiwele jagaimaster 

Umlando Adiwele jagaimaster 

Ayayayaya 

Related

ADVERTISEMENT